Monday, June 30, 2014

QUR'AN IMETOKA KWA MUNGU AU KWA WANADAMU??

[[kotasini]] somo lilolipita tuliona Jinsi Allah Asivyoweza Kuyatunza Maneno Yake Hadi Yakapotea.
[[kotasini]] embu SOMA PAKA MWISHO UONGEZE MAARIFA
muendelezo.
[[kotasini]] Je Kama Kweli Qur'an Ni Maneno Ya Mungu Aliyehai Zingewezaje Sura Na Aya Kupotea Kabisa.
[[kotasini]] Mfano;ili Uweze Kuthibitisha Kuwa Maneno Ya Mungu Aliye Hai Hayawezi Kupotea.Kwa Mikono Ya Wanadamu Na Mungu Asiyalinde.
[[kotasini]] Yeremia36;1~4 Na 21;32
Hapa Tunasoma Kisa Cha Mfalme Mmoja Ambaye Alichukizwa Na Maneno Ya Mungu Yenye Kumwonya Akaamuru Liletwe Na Kulikata Kwa Kijembe Hadi Lote Likamalizika.Lakini Mfalme Aligundua Kama Aataviacha Vipande Watu Wangeviokota Na Kuviunganisha Na Neno Hilo La Mungu Aliye Hai Likaendelea.Mfalme Akaamuru Vile Vipande Vichomwe Moto Vyote.
 Mfalme Alijua Kufanya Hvyo Atayafuta Kabisa Maneno Ya Yehova Lakini Tunaposoma Katika Mstari Na Sura Hyo Tunasikia Maneno Haya.
[[kotasini]] Ndipo Neno La Bwana Likamjia Yeremia Hapo Mfalme Alipokuwa Amekwisha Kuteketeza Gombo Lile Na Maneno Yote Ya Kwanza Aliyoyaandika,yaliyotoka Katika Kinywa Cha Yeremia Akasema;haya Twaa Wewe Gombo Lingine Ukaandike Ndani Yake Maneno Yote Ya Kwanza Yaliyokuwa Katika Gombo La Kwanza Ambayo ‪#‎Yehoyakimu‬ Mfalme Wa Yuda Ameliteketeza.
[[kotasini]] Mungu Hakuridhika Kuona Maneno Yake Yanapotezwa Na Mwanadamu Akaamuru Kuyarudisha Maneno Yale Yale Ambyo Mfalme Aliyateketeza.

[[kotasini]] Iweje Maneno Ya Allah Yapotee Yasiwe Na Kumbukumbu??
Tunamuaminije Yuleyule Aliyeshusha Qur'an Ana Uwezo Wa Kimungu??
 Kutoamini Kwa Madai Ya Sura5;48 Ambyo Allah Anadai Alizishusha Na Kuwaonyesha Sio Kuaminika Kukosa Mamlaka Ya Kimungu(divinity Authority)
[[kotasini]] Mf; Sahih Al~Bukhar Vol V1 Musnad Harba Vol1 Saifa Ya 23~24
Inamtaja Sana ‪#‎Ibn_Hanbd‬ Akimkariri Annas Akisema
Umar Bin Khatab Baba Mke Wa Muhammad Alisema Nimekubaliwa Mambo Matatu Nikasema Ewe Mtume Wa Allah Lau Kama Tungeweka Kisimamo Cha Ibrahimu.
Tazama Sura2;125 Surat Bakara.
[[kotasini]] Neno La Kiarabu La WAAFAQTU Yani Nimekubaliwa,
Umar Bin Khatab Alitoa Pendekezo Kuwa Qibla Ya Waislam Kiwe Al~kaaba Na Sio Kwamba Badiliko Lile Lilitoka Kwa Allah
Je Waislam Mnasemaje Hapo [[wajanja]]
[[kotasini]] Ikumbukwe Katika Sahih Muslims Vol1 Hadithi 525 Na 527 Inaeleza Kuwa Miezi17 Tangu Muhammad Ahamie Makka Waislam Walisali Huku Wakieelekea Yerusalem Sawa Na Wayahudi Lakini Ilipofika Aya125 Ya Surat Bakari, Qibla Kilibadilika Na Kuwa Al~kaaba.
[[kotasini]] Si Hilo Tu Umar Bin Khatib Alipendekeza Anasema "ewe Mtume Wa Allah Hakika Wake Zako Wanaingia Nyumbani Hali Vichwa Vyao Havijafunikwa?Ndipo Alipoamrisha Wavae ‪#‎Hijab‬ Hapo Ndipo Iliteremsha Aya Ya Kuvaa Hijab Sura33;59 Hii Ni Pendekezo La Umar Na Allah Akaikubali.
HITIMISHO
Kwahyo Umeona Qur'an Ni Mapendekezo Ya Watu Binafsi.
[[kotasini]] UISLAM NA UKIRSTO Ni Sawa Na Watu Wawili Waliovaa Nguo, Mmoja Nguo Nyeupe Isiyo Na Doa Na Mwingne Amevaa Nguo Nyeusi Iliyo Na Uchafu Wa Grisi Ya Magari.
*Yohana Aliona Haya Katika Maono.
Ufunuo7;13~18
Katika Mlango Huo Unajibiwa Kuwa Wale Wazee Maalum Lile Swali Alilouliza;akaambiwa Hao Waliovaa Nguo Nyeupe Ni Wale Ambao Wameupokea Wokovu Na Nguo Zao Wamefuriwa Kwa Damu Ya Mwana Kondoo.
Je Wale Waliovaa Nguo Nyeusi???. Hapo Mim Sisemi Maana Neno Liko Wazi Tu.
[[kotasini]] Sasa Basi Kwanini Ungan'ganie Kitu Ambacho Hakitoki Kwa Mungu Wa Kweli???
TAFAKARI NDUGU KWA UMAKINI,CHUKUA HATUA.
[[kotasini]] ILOVE  JESUS MY SAVIOUR.
Natumaini Mmejifunza Vyema  Soma Langu Kuanzia. Sehemu Ya1 Na Ya2 Na Mmeelewa.
[[kotasini]] TANZANIA KWA YESU...............MIAKA KUMI YA MAVUNO.
[[kotasini]] by sheikh mstaaaaaaaafu

No comments:

Post a Comment