Sunday, July 6, 2014

MBINU ZINAZOTUMIKA NA WAISLAMU KUHARIBU/KUPOTOSHA UKRISTO karne 20~21

*hili somo,linapatikana katika kitabu changu kinaitwa FIND TRUE FAITH embu fuatilia nami kwa kina upate maaarifa.
*UTANGULIZI*
waislam wengi wemepotoka kwa mafundisho ya uongo hvyo imefanya waislam kuenea kila bara kama vile ULAYA,ASIA na AMERICA inaaminika kila watu 50 muislamu mmoja wao katika bara la Africa Uislam Umeenea Kwa Kasi?
[[kotasini]] Je Ni Mbinu Gani Zilitumika??
Maana Ya Neno "islam"
Neno "islam"asili Yake Ni Lugha Ya Kiarabu Lenye Maana Ya Utii au Amani.
Mwanzo Wa Dini Ya Kislamu,neno Islam Ni Tofauti Na Dini Ya Kislamu Hii Ni Kwa Sababu Neno "islam"lilitumika Na Waarabu Hata Kabla Ya Kuanza Kwa Dini Ya Kislam Maana Yake Ni Kujisalimisha Chini Ya Amri Za Allah.
[[kotasini]] Muhammad Aliambiwa Na Allah Aseme
Qur'an39;12 Suratul Zumar(makundi/vikosi)
Na Pia Nimeamrishwa Niwe Wa Kwanza Wa Viumbe Wanaojisalimisha Kwa M/Mungu.
[[kotasini]] Qur'an6;14 Suratul Al An'am(wanyama)
Sema"je Nifanye Mola(wangu)Muumba Wa Mbingu Na Ardhi"naye Hulisha Wala Halishwi"sema Hakika Mimi Nimeamrishwa Niwe Wa Kwanza Katika Wenye Kuslimu Na (nikaambiwa)usiwe Miongoni Mwao Wanaomshirikisha(m/Mung)
 MBINU WANAZOTUMIA
1;Enyi Mlioamini Mcheni M/Mungu Natafuteni Njia Ya Kumfikilia (kufikilia Pepo Yake) Na Piganeni Kwa Ajili Ya Dini Yake Ili Mpate Kufaulu.
aya zipo nyngi.
[[kotasini]] quran47;4
quran;123
Muhammad Alisema Mwenyewe Katika Kitabu Cha Hadithi Ya Sahih Al~Bukhari Vol4 Hadithi No196 Uk124
Mtume Wa Allah Akasema.
Nimeamrishwa Kupigana Na Watu Hadi Watakaposema Hakuna Apasaye Kuabudiwa Ila Allah,yule Atakayesema Kwamba Hakuna Apasaye Kuabudiwa Ila Allah,maisha Yake Na Mali Yake Yataokewe Nami
Embu Tuangalie Qur'an32;21 suratul Al~Ahzab)
Mwislam Lazima Atakeleze Kama Alivyoamurishwa Muhammad Na Allah.Tena Tunajua Kwamba Watu Wote Hawawezi Kusema"hakuna Apasaye Kuabudiwa Ila Allah"hao Wasi Wasiosema Hvyo Kadri Ya Hadithi Hii Wanatakiwa Kupigwa Na Kuuwawa.
[[kotasini]] Je Njia Ya Kweli Inapatikana Kwa Vita Na Mabavu Kama Si Shetani Ni Nin??
[[kotasini]] Waislam Kila Kukicha Wanatafuta Andiko La Biblia Ili Kukashfu Dini Ya Wakristo Bila Kujua Maana Halisi Iliyopo!
 Embu Tuangalie Mbinu Mbalimbali Wanazotumia.
[[kotasini]] JUMUIYA YA ORGANIZATIO OF ISLAMIC CONFERENCE (O.I.C)
jumuiya hiyo ilianzishwa baada ya kumaliza vita kati ya Israeli Na Mataifa Kumi Na Tatu(13) Ya Kiarabu.Vita Hiyo Ilipigwa Kwa Siku Sita Na Kumaliza 5/6/1967 Israeli Walifanikiwa Kushnda Vita Hyo
2 [[kotasini]] JUMUIYA YA UISLAM IN AFRICA ORGANIZATION (I.A.O)
3 [[kotasini]] TAASISI YA FEDHA (tafakari kuhusu sharia banking system)
kama utapenda kujifunza kazi ya mbinu hiyo hapo uta inbox.
*mbinu Nyngine Ni!
UANDISHI WA VITABU
[[kotasini]] waislam wa sehemu mbalimbali hapa duniani ameandika vitabu na bado wanaendele kuandika.
vitabu ambavyo vinasema imani ya WAKRISTO vibaya.
~vitabu hvyo vimeandikwa kwa lugha mbalimbali.
[[kotasini]] nime bahatika kusoma kitabu cha AHMED DEEDAT
mtu huyu nimesoma kitabu chake kinaitwa THE GOD THAT NEVER WAS mtu anaishi kule durban,Africa Kusini,shirika Lao Linaitwa THE ISLAMIC PROPAGATION CENTE.ukisoma vitabu vyake utaona jinsi anavyotumia hisia zake kutoa tafsiri potofu kupotosha maandiko ya biblia.
[[kotasini]] DEEDAT ndyo chanzo kikubwa cha mhadhara iliyoenea sana duniani,na hasa katika nchi za Africa Mashariki,vitabu Vyake Vinatumiwa Katika Makongamano,semina,mihadhara,makongamano Iliyoenea Sana Duniani.
Katika Vitabu Vyake.Anasema
~Yesu Ni Mungu Mlafi (mathayo11;19)
~Mungu Ambaye Hakujua Kusoma Wala Kuandika(7;14)
~Mungu Aliyekuja Kwa Kabila La Wayahudi(ufunuo5;5)
~Mungu Aliyezidiwa Na Hisia Zake(marko14;33)
~na Mungu Bubu Na Asiyejikinga(matendo8;32)
[[kotasini]] Katika Kusoma Kwangu,mbona Maneno Yake Hayafanani Na Anachokiongea??
Kwanin Mnadanganya Watu Kwa Uongo Uliokithiri??
 Ukisoma Katika Kitabu Hiki Utasikitishwa Sana Na Lugha Mbaya Za‪#‎deedat‬ Ambzo Waislamu Wazishangilia Na Kuzitumia Katika Mihadhara Yao.
Isitoshe Jumuiya Ya Kubwa (O.I.C) Islamic Development Bank Na Mfalme Fahad Wa Bank Wa Saudia Arabia Ndio Wafadhili Waosaidia Kusambaza Vitabu Hvyo.
Mbinu Nyingine Ni?
[[kotasini]] UCHAWI NA USHIRIKINA
waganga wa kienyeji ambao wengi ni waislamu wanawashawishi wagojwa wakristo waslimu kwa madai kuwa ili matibabu yafanye kazi basi jina la kikristo libadilishwe na upewe jina la kislamu ndipo matibabu yatafanikiwa.
[[kotasini]] kwa kuangalia vitabu vyao NIMEAMINI MUNGU WETU NI WA HURUMA,wanamtukana/wana mdhiaki, lakini MUNGU ANAWAANGALIA KWA JICHO LA HURUMA ANAJUA siku moja utakuja kuwa PAULO WA PILI.
SWALI
[[kotasini]] Je Dini Gani Inatetewa Na Vita Na Mauwaji??
[[kotasini]] Je Dini Gani Inaposha Watu Kwa Mafundisho Ya Uongo??
[[kotasini]] Je Dini Gani Inakuua Ukiacha Imani Hyo??
Dini Hi Haina Tofauti Na Shetani Maana Shetani Hufanya Kama Hvyo.
MUNGU AWASAIDIE HAWA WATU.(awarudishe kondoo waliopotea.)
USHAURI WANGU KWAKO.
~penda kusoma biblia mwenyewe c kumezeshwa mafundisho ya uongo.
~watumishi wa MUNGU endeleeni kuwa fundisha watoto wa MUD kwa nguvu zote.
[[kotasini]] MUNGU AWABARIKI.
[[260228620783185]]
*maoni/ushauri Unakaribishwa
By Sheikh Mstaaaaaafu