[[kotasini]] somo lilolipita tuliona Jinsi Allah Asivyoweza Kuyatunza Maneno Yake Hadi Yakapotea.
[[kotasini]] embu SOMA PAKA MWISHO UONGEZE MAARIFA
muendelezo.
[[kotasini]] Je Kama Kweli Qur'an Ni Maneno Ya Mungu Aliyehai Zingewezaje Sura Na Aya Kupotea Kabisa.

[[kotasini]] Mfano;ili Uweze Kuthibitisha Kuwa Maneno Ya Mungu Aliye Hai Hayawezi Kupotea.Kwa Mikono Ya Wanadamu Na Mungu Asiyalinde.
[[kotasini]] Yeremia36;1~4 Na 21;32
Hapa Tunasoma Kisa Cha Mfalme Mmoja Ambaye Alichukizwa Na Maneno Ya Mungu Yenye Kumwonya Akaamuru Liletwe Na Kulikata Kwa Kijembe Hadi Lote Likamalizika.Lakini Mfalme Aligundua Kama Aataviacha Vipande Watu Wangeviokota Na Kuviunganisha Na Neno Hilo La Mungu Aliye Hai Likaendelea.Mfalme Akaamuru Vile Vipande Vichomwe Moto Vyote.

Mfalme Alijua Kufanya Hvyo Atayafuta Kabisa Maneno Ya Yehova Lakini Tunaposoma Katika Mstari Na Sura Hyo Tunasikia Maneno Haya.
[[kotasini]] Ndipo Neno La Bwana Likamjia Yeremia Hapo Mfalme Alipokuwa Amekwisha Kuteketeza Gombo Lile Na Maneno Yote Ya Kwanza Aliyoyaandika,yaliyotoka Katika Kinywa Cha Yeremia Akasema;haya Twaa Wewe Gombo Lingine Ukaandike Ndani Yake Maneno Yote Ya Kwanza Yaliyokuwa Katika Gombo La Kwanza Ambayo #Yehoyakimu Mfalme Wa Yuda Ameliteketeza.

[[kotasini]] Mungu Hakuridhika Kuona Maneno Yake Yanapotezwa Na Mwanadamu Akaamuru Kuyarudisha Maneno Yale Yale Ambyo Mfalme Aliyateketeza.